Mtu mzima per time na shamba lake la kahawa vp wazee?
Mlio kuwepo enzi za Six na Muvembe, mzee mzima Kocha, Bondia, Matumbi, Kitomari na vitomari vyake, kitu kulazwa, kudabo nyuka, mnamkumbuka ALL na Speak English? Miaka ya 2000 mnakumbuka Mwekundu? Enzi za msitu na dari, K6 kwa kukanga je...