mbona mashangingi ya mawaziri na wakurugenzi yanashinda huko mvuti na maeneo mengine kwenye mashamba ya wakubwa lakini huoni kama ni matumizi mabaya ya mali zetu. hasa siku za week end
:)
kwani walioua boston ni waislam?. je wale wakatoliki wanaolipuana na waluthery kule northern ireland kabla hata neno ugaidi halijafahamika dunia hii nao ni waislam. msitafute majibu rahisi katika maswali magumu. kama serikali yetu ingekua competent ikafanya uchunguzi wa kutosha kutajua ukweli...
hili jambo mnaosemi ni udini, je mbona mlipuani ni mkristo au naye ana maslahi gani na uislam.
mbona watuhumiwa wengine hawatajwi majina. wengine ni wageni je nao wana maslahi gani na uislamu wa tanzania.
kuhusisha hilo jambo na udini bila uchunguzi utakaotupa ukweli ni uchochezi. kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.