Kabisa kaka, waliopoteza ndugu zao ndo wanaoumia zaidi Kwa mizaha ya namna hii!
At least wangewajibishwa baadhi ya wazembe ingeleta nafuu kwao.
Ndugu zao ndo hawarudi tena na wanaolipwa ili kuokoa hawakuokoa na bado wapo kazini!
It's so sad
Amenena vyema sana, badala ya mtu kuusikiliza vyema uchambuzi huu ambao ni Kwa manufaa yake na kizazi chake ili aongezee na reasoning yake, yeye yuko busy kupinga Kila kitu kisa tu hakiemdi sambamba na zidumu fikra za CCM.
#Naililia Tanzania😰
Inasikitisha sana kuona wasomi wengi wamejikita kwenye ku-identify watu waliosaidia/waliookoa abiria 24 waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyofondoka Ziwa Victoria siku kadhaa zilizopita.
Binafsi naamini kwamba hakuna aliyeokoa abiria hao Kwa ajili ya spotlight, ni tendo la kibinadamu tu...
Mifumo mibovu ndo anguko letu, wanasiasa wamekuwa wakija na miradi ambayo wanajua fika kuwa itakwama, lakini wanaendelea nayo tu kwakuwa wana asilimia zao ndani yake.
Katiba mpya ndo njia pekee ya Tanzania kusonga mbele kimaendeleo.
Hii tabia ya kutegemea 'huruma' ya kiongozi katika kutimiza wajibu wao ndo inatuponza! TUDAI KATIBA MPYA KWA NAMNA YOYOTE ILE!!
Wanakuwa wamepiga percent zao tu hao, wakishachukua chao sisi tunabaki na mgawo..hii nchi tukisubiri kuletewa kila kitu kwa mapenzi ya watawala, kiama itafika tukiwa bado gizani!
Wataalamu wamehamia kwenye kusifia kila kitu, hawatumii utaalamu wao kushauri bali wao ndo wanashauriwa na Wanasiasa wafanye nini. NI UJINGA MTUPU!!
Hii tabia ya Mama ametoa maelekezo siielewi kiukweli, ni kwamba ukiwa Rais unajua mambo yote?
Nilitegemea 'kusikia kuwa Wataalamu wamekaa na Mhe...
UHABA WA MAJI KUPELEKEA MGAWO MPYA WA UMEME?
Kwa wale wasiofahamu, uhaba wa maji nchini unaodaiwa kutokana na ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua kwa muda mrefu (mabadiliko ya Tabia ya nchi), una madhara ya moja kwa moja kwenye upatikanaji wa umeme hapa nchini.
Hii ni kutokana na maji kuwa...
March 11, 2022.
Mwenyekiti wa Taasisi ya ushirikiano uwekezaji katika sekta ya maji Kusini mwa Afrika (Global Water Partnership) ambaye pia ni Rais mstaafu wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete;
Benki ya Maendeleo ya Afrika imesema kwamba dola za Kimarekani bilioni 64 zitahitajika kila mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.