Eneo lenye ukubwa wa Hekari 500 linauzwa. Eneo lipo Kisarawe, Masaki kijijini, eneo lipo along barabara iendayo Msanga/ Maneromango. Ni kilomita 20 ukitokea CHANIKA.
Hekari moja inauzwa shilingi milioni moja (Tsh 1,000,000/=). Kwa mteja ambaye atachukua zaidi ya Hekari 50 bei inaweza ikapungua...