Recent content by diaspora-mtarajiwa

  1. D

    Naombeni Ushauri wenu please

    Hii milioni mbili nmeipata baada ya kuuza kijishamba changu ambacho kilikua kina mgogoro... kwa hio siwezi kupata 2m kwa njia ya mwanzo...
  2. D

    Naombeni Ushauri wenu please

    Mie sina kijiji,mwenyeji wa hapahapa dar... Asante kwa ushauri wako ila wazo lako naona haliendani na mtaji wangu.
  3. D

    Naombeni Ushauri wenu please

    *mambo ya uwakala Big no,kutokana na uhalifu wa mitandaoni uko juu sana sasa na kuhusu ufugaji kuku naona wazo zuri ila eneo sina kabisa. *Asante kwa ushauri.
  4. D

    Naombeni Ushauri wenu please

    *Habari zenu wana Jf *mimi ni kijana mdogo kabisa mwenye elimu ya form 4b ninaeishi Daressalaam.. *Nina mtaji wa milioni mbili ila nimeshindwa kupata Idea yoyote ya business ambayo itanilipa vizuri na kuendelea kuniweka mjini. *Humu ndani najua kuna watu wana nia ya kusaidia,hivyo...
  5. D

    Nataka kuzamia nje ya nchi, nishaurini wakuu niende nchi ipi?

    Mkuu naomba mchanganuo kuhusu Scandinavia contry...maana ndio target yangu hapo.
  6. D

    Nataka kuzamia nje ya nchi, nishaurini wakuu niende nchi ipi?

    kheri kwenu wadau, Baada ya kupigika na Maisha saaaana nimebahatika kupata 3.5million *nina miaka 22 *elimu form4 *Nina nguvu zangu na akili timamu *sasa katika akili yangu limekuja wazo la kwenda majuu kutafuta maisha. nchi yoyote ya Duniani excluding African country. *Niko teyari mda wowote...
  7. D

    Ngozi yenye mabaka

    asante mdau,ntafuatilia ushauri wako Dr.
  8. D

    Ngozi yenye mabaka

    habari zenu wakuu... *Naombeni msaada ngozi yangu ina mabakamabaka nahisi ni kutokana kupigwa na jua sana. *Je ni njia gani naweza kuyatoa au cream gani nitumie.!? Amani kwenu
  9. D

    Lolooo bahati kwa mtu mwenye shamba

    kanunua moto kaa sasa ni tajiri
  10. D

    Katuni za leo .................

    hii nchi ishakosa muelekeo....bado kuzama,tu
Back
Top Bottom