ni kuanzia siku ya 10 kuanzia siku ile mdada anapoanza period kama ameanza tar 01 basi tar 10 ni wakati mzuri zaidi kuanza mchakato, inasemekana manii yene Afya ina uwezo wa kuishi hadi masaa 72. na mimba hutungwa katika mrija ambapo by tar 14 yai linapoanza safari linakuta tayari manii ipo ...
kikubwa siyo urefu wa dushelele wala upana wake, saizi siyo isue tatizo liko kwenye pumzi, utafiti usiyo rasmi goli moja ni sawa na mbio za kilometa saba sasa utaona mbio za km 7 si mchezo. wa kiume siku hizi chipsi kuku ndo chakula utamridhishaje mwenzio? JIANGALIENI VIJANA HAKUNA CHA ZIADA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.