Nadhani habari imeeleweka, tunachohitaji ni haki sawa kwa wote, hakuna mageuzi pasipo ushawishi, na hakuna ushindi pasipo ushindani, aibu za ccm wanaweza geuzia ktk sheria kama nguvu ya uonevu, ccm tunayoijua hawataona haya kufanya hivyo wanavyohitaji kwani kwao uhai wa mtz hawauthamini ila...