Recent content by DHORUBA

  1. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu huu wa mahakama,siasa hizi na amani yetu

    Laki sita ni hela nyingi sana.Njia pekee ya kupata haki ni kupigana tu na wanaotaka kukudhulumu.Mahakama hovyo kabisa.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa aliacha kanisa kwenye mataa

    Waumini wa KKKT usharika wa Monduli Mjini jana walipigwa na butwaa baada ya harambee waliyokuwa wakiisubiri kwa hamu iongozwe na mbunge wa Monduli ndugu Edward Lowassa kwa ajili ya kumalizia jengo la hostel kugonga mwamba baada ya mbunge huyo kutotokea kama alivyoahidi. Awali mbunge huyo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Monduli: Uhuni wa Lowassa huu hapa

    Huyu mtu anaitwa Kuruthum ndio wa kupotezwa kabisa.Amefanya uhuni sana kwenye huu uchaguzi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wapigakura wa Prof. Tibaijuka wamtosa jimboni kwake

    Wana Muleba watakuwa wamesaidia sana hili taifa tofauti na majimbo mengine ambayo wabunge wao walipokutwa ndani ya kashfa za ufisadi wao waliwapongeza kwa kuwaita mashujaa kama Monduli wakati wa Richmond.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wetu wasikivu hawataki kujiuzulu?

    Kwa sababu ya udhaifu wa rais Kikwete.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Monduli: Uhuni wa Lowassa huu hapa

    Lowassa anauwaza urais kwa siasa za kihuni namna hii? Huyu ni mtu hatari sana kwa ukuaji wa demokrasia angekuwa na uwezo angewaua wapinzani wake wote Monduli. Mtu kama huyu hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Makamanda Monduli wasambaratisha ngome ya Lowassa

    Azidi kugawa hela labda idadi ya "wanaoliona" itaongezeka.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mliomshauri rais mmempotosha

    Rais mwenyewe anashauriwa na Makonda ataachaje kupotezwa.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Makamanda Monduli wasambaratisha ngome ya Lowassa

    Kazi nzuri sana makamanda wa Monduli.Sambaratisheni hilo fisadi.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Miraj Kikwete: Mimi na dada yangu Salama hatumiliki Kampuni ya Simba trust

    Ni mwendo wa makanusho tu sasa. Serikali yakanusha.... Rais akanusha..... Spika akanusha..... Makonda akanusha...... Miraji akanusha......
  11. D

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    Hata wahuni hawapendi kufanyiana uhuni.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Makonda na wapiga debe

    Vijana waliokuwepo ndio wakulaumiwa.Nimemuona Makonda akiwa buheri wa afya nikasikitika sana.Vijana wa Dar es salaam sio mfano wa kuigwa kwa jinsi walivyoshindwa kumshughulikia Makonda mpaka sasa anaonekana shujaa.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ngome ya CHADEMA ya Arusha haikuhitaji mwenyekiti kama Amani Golugwa

    Kuzuia mgonjwa asichomwe sindano kwa sababu inauma sio namna sahihi ya kumuonesha mgonjwa upendo.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mwenge afichua siri nzito kuhusu kifo cha Sokoine

    Sasa wahusika wa huo ugaidi watakuwa Boko Haram au Alshabaab?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mwenge afichua siri nzito kuhusu kifo cha Sokoine

    Wakati rais anahaha kuwaweka sawa UKAWA kiongozi wa mbio za mwenge anaporomosha matusi kwa UKAWA.
Back
Top Bottom