Recent content by dhope

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa kisiasa Bukoba, Mahakama yawafutia nyadhifa madiwani saba

    Utawala wa sheria
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawapiga 'STOP' madiwani 9 Bukoba kushiriki kikao cha Baraza la Madiwani kesho

    Mahakama ni chombo cha haki,kitawatendea haki tu,ila bukoba msahau maendeleo na jimbo mshalikabidhi oposition sasa,
  3. D

    JamiiForums Tanzania Masterminder wa kummwagia tindikali Kubenea awa kichaa

    Wakazi wa tegeta nyaishozi hasa waliokua wakipenda kupata kinywaji katika bar ya nyamachabesi,kabla ya tukio la kumwagiwa tindikali watakua na la kusema kuhusu huyo bwana,mtafteni mzee Ndimala Tegambwage ambaye alikua muhanga wa tukio muonesheni hii picha cause na yeye ni mkazi wa tegeta...
  4. D

    JamiiForums Tanzania CCM Tujifunze Maana ya Division Of Labour, Tubadilike Sasa!

    Tatizo la green party, ukiwa mkweli utaandamwa mpaka basi, nadhani bro umejiandaa kwa fitina
  5. D

    JamiiForums Tanzania Meya wa Bukoba atangaza kujiuzulu baada ya Ripoti ya CAG kusoma leo!

    Amani na timu yako ndio mliompoke Balozi hapo bukoba mjini mwaka 2005 nakumbuka ulimpa balozi gari(Prado) kipindi kile afanyie kampeni,unajua mlicho mfanyia lwakatare mwaka 2005 na Balozi akashinda ubunge,then urafiki wenu ukadumu mpaka mkamtoa Mzee Luangisa kwenye nafasi ya umeya mwaka 2010...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Balozi Hamisi Kaghasheki Lazima Ataangushwa Ubunge na Ndugu Anatoli Amani

    Hivi yule mama mwenyekiti anatoka wilaya gani? Naomba kujua wadau wa bk
  7. D

    JamiiForums Tanzania Sitta atakuwa tayari kumkapenia Lowassa?

    Jamani Lowassa ndie mtu anayefaa pekee mbona hatusikii wengine? Au wanasoma upepo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Dk kitila mkumbo akataliwa na kuaibishwa vibaya iramba.

    Pole mwalimu wangu
Back
Top Bottom