Dogo alikuwa na kesi FIFA, akadanganywa jinsi ya kuandika barua niliyoletewa kupitia mwanasheria wa Bhakresa. Nikamwambia abadilishe, akatoa nje. Nikaipeleka FIFA, ikakataliwa. Nikamtumia copy mbili (na nikam-cc Malinzi, na viongozi wengine wa karibu yake), nikampa barua mbili. Moja kuendelea na...