Recent content by dex

  1. D

    Nape: Wapinzani wachukue watuhumiwa ufisadi CCM

    dalili za mtu mwenye I/Q ndogo ni kama za Nape ,si mtu wa kufikiri ila ni mropokaji ,hawa ndio wanatakiwa na CCM ya kisasa . Itikadi sio kuwatoa mafisadi ,maana hao ndio wamekifikisha chama kilipo kwa wizi wa kura na mambo kama hayo ...Bila lowasa na siasa za maji taka leo JK angekua raisi...
  2. D

    Sijafungwa kitambaa usoni - Spika

    Jamani huyu mama ,sijui amesoma wapi ...kiingereza chake kibovu ,poor Tanzanians speaker huyu kweli ????tunamlinganisha na mzee 6 ?? ndio Tanzania ya JK
  3. D

    CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

    sio hoja hata mbunge wa ludewa deo filikunjombe alishasema milango ifungwe katika kikao cha kwanza tena akiwa anachangia lakini haikua ishu ..acheni uzandiki CCM imechoka
Back
Top Bottom