Recent content by devotha kato

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karibu wewe muhitaji....je unayo 38---45

    mbona mimi sijaweka mashart yakutisha?ambayo tena wala si magumu? alafu tuweke picha hapa inahusu?ambaye yuko tayari picha yangu nitamtumia kwa email ndo maana nilisema mwenye uhitaji.Sioni kama kuna ulazima sana wakuweka picha hapa kwenye jukwaa. Asante kwa ushauri.
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karibu wewe muhitaji....je unayo 38---45

    Mimi ni mwanamke wa umri wa miaka 30,natafuta mwenza kupitia jukwaa hili.Sifa nizitakazo kwa huyo mwenzi awe na muonekano mzuri tu na awe nakipato walau chakujikimu yeye mwenyewe kama una mtoto walau mmoja au wawili si mbaya sana hapa tunaweza kusaidiana kulea.Mimi nimeajiriwa hapa Dar na nina...
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kuolewa......

    kweli kabisa ati
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boss anataka kunitenganisha na mke wangu

    Pole ndugu yangu
Back
Top Bottom