Recent content by devj

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa huu unatiba?

    Mleta hii habari...uko mkoa gani? hebu ni PM eneo
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya Mume inanitesa

    Wapendwa Amani iwe kwenu daima, Naomba niwashukuru sana wote mliochangia kwa busara na hekima zenu ambazo zimekuwa ni mwanga kwa tatizo la mdogo angu kupata utatuzi wa yaliyojitokeza kwenye ndoa yake. Kwa Upande wangu mniwie radhi kwa kutowajibu papo hapo mlipochangia kwani nilipatwa na...
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya Mume inanitesa

    habari zenu wapendwa! jamani mie nimeletewa hili jambo na mdogo angu wa damu kabisa akiniomba ushauri na kwa kweli nimeona nije kwenu mnisaidie tumshauri cha kufanya kutokana na yeye kukata tamaa na kufikiria kuondoka kwenye ndoa yake. Ameolewa miaka 3 iliyopita na ana mtoto mmoja. Kwa muda...
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzia: Mama yangu mzazi ameaga dunia

    Daaah pole sana ndugu ,Mungu akutie nguvu na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu kwako,Mama ametangulia nasi tuko nyuma yake,kwake Mola wote tutarejea!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa au?

    ndugu yangu mie ni mzazi na kwa experience yangu mwanao ana kitu wanasema mchango ambao huwa unawapata watoto mwanzo wa mwezi ukiandama, katikati ya mwezi na mwisho...huwa wanashtuka hivyo na kama hutamuwahi dawa basi huwa inapelekea degedege.dawa za hospital zipo na za kienyeji zipo pia,mimi...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuwa Pamoja Nanyi JF

    Asanteni jamani wapendwa kwa kunikaribisha,Katavi,Yegoo,Globu.Ulimakafu,Baba V,Tedo,Watu8,Be blessed kwani mmenifanya nijisikia huru na mmoja wenu mlivyonikaribisha.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kuwa Pamoja Nanyi JF

    Jamani wapendwa wana JF..Natumaini mnaendelea vizuri Kiafya na kimajukumu! Mie naitwa Devj,nimependa michango,mawazo na misaada yenu kwa wahitaji na hivyo naomba kuwa mwanajamii mwenzenu katika JF jamani.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye presha ya kushuka (low blood pressure) watumie hizi dawa

    Mungu akubariki sana utoaye Elimu hii kwa wote kwani wengi wetu tunaangamia kwa kukosa maarifa haya ya tiba mbadala!
Back
Top Bottom