Nimejaribu Mara kadhaa Ku exchange my account baada ya kusahau password, nilikuwa nataka niweke nyingine inagoma. So mwenye anafahahu anisaidie, kwenye Sm ya Tecno W4
Kuna software ya computer inaitwa Sdata tools. Hii software inafanya kazi ya Ku double ukubwa wa memory card na flash. Kama inaukubwa wa 2gb inakuwa 4gb, 4gb-8gb, 8gb-16gb na kuendelea.
Niliwahi kuitumia kwa memory ya ukubwa wa 4gb ikawa 8 gb, sasa hiyo software ya Sdata tools niliipoteza...
Nina D ya phys D ya chemia, bios C, Engl C, maths F, Engl C, Kiswa D, na mengine yaliobaki D. Je ninaweza kuapply advance kwa masomo ya sayansi?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.