Recent content by Deusdedit

  1. D

    SFO: Hivi ndivyo Chenge alihusika kashfa ya rada!

    Salamu zangu! Babu! Belgium naskia kuna mgao wa umeme! Huku hali ni shwari! Kuna mvua za elnino! Maji kibao mtera,kihansi,nyumba ya mungu! Umeme wa kutosha kabisa! Ila nadhani mafisadi ndo wanaupata, mana maeneo ya kama kule ninakoishi ni so!! Kiza kinene! Sema cha kushangaza ni kwamba bar bado...
  2. D

    SFO: Hivi ndivyo Chenge alihusika kashfa ya rada!

    Salamu zangu! Babu! Belgium naskia kuna mgao wa umeme! Huku hali ni shwari! Kuna mvua za elnino! Maji kibao mtera,kihansi,nyumba ya mungu! Umeme wa kutosha kabisa! Ila nadhani mafisadi ndo wanaupata, mana maeneo ya kama kule ninakoishi ni so!! Kiza kinene! Sema cha kushangaza ni kwamba bar...
  3. D

    Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

    Ebwanaee! Hizi picha si nzuri kwaq afya hasa kama hawa jamaa hawako pamoja..na ni mbaya zaidi kwa kuwa mwenye anammiliki Aunt akiona vile kitu Jack Bawa Pemba anavokula litaz anaweza kutangaza separation!.....
  4. D

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Kimsingi, ntaongea kirefu zaidi kesho! Ila kwa sasa...huyu Bwana Mwakalinga nadhani atapoteza saana na ni bora achague jimbo lingine kabisa! Sisi kama wanamapinduzi na wanaharakati harakatini, lazima tuseme kuwa, Mwalinga ni mali na aweza kuwa zao la ufisadi mwingine. Anaishi Ulaya sawa...
Back
Top Bottom