Recent content by deus tedeum

  1. deus tedeum

    JamiiForums Tanzania Tanzania na rasilimali zake ni mali ya wananchi, hatukubaliani na makubaliano kuhusu DP World

    Tanzania na rasilimali zake ni mali ya wananchi wa Tanzania, na Wala si Mali ya nchi nyingine . Watanzania wengi Sana hasa wazee wetu ambao hawaja bahatika kupata elimu kubwa na mathubuti, hawawezi kuambilika kwa sababu wamesha pumbazwa na c.c.m kwa sababu walikuwa nacho tokea zamani, maana...
  2. deus tedeum

    JamiiForums Tanzania Tanzania na mauzauza

    Kwakweli Tanzania tunaelekea pabaya na kwahaya hatupaswi kuwa kimya ,Kama wananchi katika taifa hili,na pia Kama wenye uhalali wa nchi,Tanzania tumekuwa na Mambo ambayo haya fai Tena Sana na tusipo angalia Tanzania ,wengi wanaangalia maslahi tu na Wala sikitu kingine hawana uchungu na nchi yao...
Back
Top Bottom