Pamoja na hilo la kuzaliana, wachaga wako juu, wasomi, wasafi, heshima, mchaga asipokuwa na mkewe au mmewe home basi wako kwene makulaji, pombe na nyama, so lovely, kwanza wachaga waaminifu sana, ushawahi kuona maskendo ya ajabu ajabu kwa wachaga? Na uchagani kuna mababy face balaa, tuseme tu...