Recent content by Destery Philipo

  1. Destery Philipo

    JamiiForums Tanzania Amani na utulivu vitawale mkutano wa CCM Dodoma

    CCM ndio chama pekee Tanzania ambacho ukiangalia safu ya uongozi wake iko imara, naamin Mr. JPM atamiongoza chama chetu kwa #Uadilifu #Uzalendo #Uwazi #Usawa #weledi na #Mshikamano kutoka nganzi ya tawi hadi Taifa kwa ujumla
  2. Destery Philipo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi Mbalimbali, Mrema ateuliwa kuwa mwenyekiti Parole

    Angeteuliwa ndugu yako usinge lalamika, leo kateuliwa Mrema unatoa sababu ambazo hazina mashiko.
  3. Destery Philipo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katika ubora wake, ahadi zimeanza kutekelezwa

    Najua kwa nn unaongea hvyo cz unga wa ndere bado umeshikilia fikira zako, hvi Watanzania nan ambae atakuja kutuongoza tukakubali kwamba anafanya kazi vzr? ? Leo Wapinzan mambo mliokuwa mnakemea kila siku yame tekelezwa lkn huwa hamkoswi vihoja ambavyo havina tija kwa Taifa letu. Kiukwel...
  4. Destery Philipo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katika ubora wake, ahadi zimeanza kutekelezwa

    Kuna mambo ambayo hata ukiwa upande wa pili lazima kuyaunga mkono maana Serikali hii ipo makini kwa kila jambo, naamin ahadi nyingi zitatekelezwa bila shida yyte. Watanzania tujifunze kuwa wazalendo na nchi yetu siyo kila mda harakati ambazo hazina tija kwa Taifa letu. #Tanzania nchi yetu sote...
  5. Destery Philipo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni halali mfumo wa Elimu kuchezewa na watu wachache waliopewa Dhamana?

    Hamna kitu kama hicho, kama una sifa utasoma bila shida yyte
  6. Destery Philipo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni halali mfumo wa Elimu kuchezewa na watu wachache waliopewa Dhamana?

    Basi ni bora huo mpango uanzie nchini kwetu ni jambo jema
  7. Destery Philipo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni halali mfumo wa Elimu kuchezewa na watu wachache waliopewa Dhamana?

    Suala la Elimu siyo la kujaribishia, wenye sifa ya kujiunga na Chuo kikuu watajiunga kulingana na viwango ambavyo TCU wametoa, ambao hawana sifa hizo bac wataenda vyuo vinavyo wasitahili. Ni bora vyuo viwe na wanafunzi wachache ilimradi wawe na sifa sitahiki, Elimu ni ngunzo mhimu ktk nchi...
  8. Destery Philipo

    JamiiForums Tanzania Mbowe awazuia BAVICHA kwenda Dodoma

    Sasa walitaka kwenda DODOMA kufanya nini? ? Utaratibu upo hivi mikutano ya ndani ya chama haijakatazwa pia lazima kujua madhumun ya mkutano wa Chama ndipo uanze kutoa hoja za kulalamika. Mikutano wa tarehe 23/7/2016 wa CCM ni halali kwa sababu madhumun yake ni kukabidhi umwenyekit kwa Rais wetu...
Back
Top Bottom