Habari humu,
Mwaka 2024, Majira ya saa 8-9 usiku tulivamiwa na majambazi/vibaka zaidi ya 10. Tukio lililodumu zaidi ya nusu saa bila kupata msaada wowote wa majirani.
Ilikuwa hivi around saa 8 tukiwa usingizini na familia yangu maana nyumba Ilikuwa na vyumba viwili na sebule na jiko. Chumba...
Kwa research yangu ndogo nimekuja kugundua maeneo mengi yaliyotawaliwa kwa kiasi kikubwa na watu kutoka Asia 🌏 ni yanajivuta sana kwenye maendeleo sababu:
1.Watu kutoka Asia huwa hawarithishi teknolojia/elimu/ujuzi hii ni mpaka leo ukifanya kazi kwa wahindi hata waarabu.
2.Wanathamini sana...
Acha kugoogle au kwenda chatgpt ngoja nikupe
Watoto wengi asilimia kubwa hawapati hivyo vitu so ukizama kwanza kwake ni "fantasy " yani muda wote atakuw ana hamu muwe mnakutana uilambe.
Inarahisisha kazi yani ukija kuweka tu kama uliipiga deki fresh basi utashangaa mashabiki haoo wameingia...
Mbona nimekuelezea hiyo statement ya mwisho! We just go to church/mosque tunasali na kulia kabisa pale haimaanishi kanisa/msikiti ni Mungu bali it is a holy place ambapo kiimani kitendo chochote cha kumtaka Mungu msaada, msamaha au rehema kinakubaliwa pasi na shaka.
Hii ibada mbona hata Ibrahim wa kwenye biblical kaifanya!
Lile jiwe haliabudiwi kwa maana halina madhara ya moja kwa moja kwa mwanadamu, kama ilivyo Mungu bali hutumika kama ishara ya kuthamini na kujali vitu vitukufu vilivyoanzishwa au kutumiwa na watakatifu/mitume/manabii wa Mungu kabla yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.