Kweli Chaza, haitatokea Dodoma ikafikia hata nisu ya ukubwa wa Dar na bado nina shaka kama hata unaweza kuutoa mji wa Mwanza nafasi ya pili kwa ukubwa. Hata hivyo ni ukweli ulio wazi juu ya mtoa mada kuwa Kinondini itaathirika.
Lakini kwa ujumla wake, bandari itaendelea kuufanya jiji la Dar...
Nadhani sababu kubwa ya kuupeleka upande wa Uyole ni kutaka kuteka biashara ya mojawapo ya Wilaya mbili (na sasa tatu) tajiri kabisa nchini za Rungwe (na Busokelo) na Kyela, pamoja na nchi ya Malawi. Vilevile, jiji hilo limejengwa katika kabila la Wasafwa (lakini Mbalizi iko karibu na Wamalila)...
We
Wewe na Mkuu wa Chuo, mara zote mmekuwa hamko biased katika kulichambua suala hili na hivyo nashukuru kwa kuendelea kushauri juu ya namna bora ya kuchangia mada hii.
Ni kweli kuwa lengo la mada hii ni kuangalia fursa za miji yetu zilizotumika, zinazotumika na zitakazotumika hapo ambazo bado...
Ghafla maamuzi ya Rais John Pombe Magufuli ya kutaka kuhamishia ikulu Dodoma, aliyotangaza leo mjini Dodoma, yanaelekea kuu-boost mji wa Dodoma. Kutokana na hali hiyo, mji huo utakuwa na ushawishi mkubwa nchini na unatarajiwa kuwa mji wa tatu kwa ukubwa nchini come 2020 nyuma ya Dar na Mwanza...
Ni ukweli usiopingika kwa wana Kanda ya Ziwa kuwa, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, Mikoa ya Kanda ya Ziwa kama ilivyo mikoa yote ambayo haina milima, hasa ya katikati mwa nchi, imeathirika sana kiuzalishaji kutokana kupata mvua chache hivi karibuni huku nyingi ziknyesha bila kufuata...
Tangu kuvunjwa kwa majimbo na kuundwa kwa mikoa nchini miaka ya 1960s, Mwanza ndio mkoa ambao umekuwa ukiongoza kwa idadi kubwa ya watu huku ikiongoza pia kwa msongamano mkubwa wa watu nchini kwa sensa za watu za miaka ya 1967,1978,1988 na 2002, kabla ya kuzidiwa na Dar kwa idadi mwaka 2012...
Na hebu fikiria na ujibu swali hili, familia yenye watoto 5 na ng'ombe 40 na familia yenye watoto 10 lakini na ng'ombe 65, ni ipi tajiri?
Mfano huu ni jibu tosha kwa wale wanaodai Mwanza ni mojawapo ya mikoa masikini.
Kuna watu humu wanasumbuka kuchukua data za kipato on per capita basis na kusahau kuwa, ulinganisho huo huwa unabagua miji na nchi zenye watu wengi. Kwa taarifa yenu, ukichukua per capita income ya wachina ni ndogo kuliko nchi zote za Mashariki ya Mbali pamoja na Asian Tigers. Hata hivyo...
Haya yote ninayopost yanatumia vyanzo mbalimbali vya kielimu vikiwemo vinavyotumia disciplines zenye hard data na soft data. Pia natumia zaidi comparative katika ku-judge chochote ninakisema. Ili uthibitishe haya ninayosema kuwa ni kweli ama uongo, chukua statement yoyote hasa inayohusu...
Jitahidi sana kusoma posts nyingi tangu mwanzo badala ya kusoma moja halafu unakimbilia ku-conclude. Mimi sikuelewi unapo-quote post yangu halafu unaweka Ndalichako, sasa unamaanisha nini? Ni vyema hata ufafanue haraka ulichomaanisha maana ninahisi ulimaanisha negatively. Nachelea kukujibu...
Kusifia mafanikio ama kukosoa udhaifu wa kabila kwa misingi ya kubadilisha tabia hizo siyo ukabila. Katika lugha nyepesi ukabila ni hali ya kufanya maamuzi ama kutoa huduma kwa kufuata misingi ya kabila la mtu husika badala ya sifa stahiki ambazo huwa ni objective.
Aiseeh nilitegemea swali hili. Lengo la kusema hivyo ni kwa sababu mizigo mingi ya maana, hasa bidhaa za viwandani zinatoka nje ya nchi. Sasa ukiona umbali uliopo kati ya Musoma kupitia Arusha hadi Mombasa (bandari kuu Afrika Mashariki), ni mfupi kuliko Mwanza to Dar japokuwa umbali wa Musoma...
Ghafla sterling mpya ndio kwanza anaonekana maana ni mwanzo wa filamu ambayo badala kuwa fiction ni reality. Anachofanya Ndalichako kinaakisi thread hii - kila jamii (ukoo, kabila, taifa na race) ina limit yake ya uwezo wa asili wa darasani kutokana hasa na nasaba (genes) za jamii hiyo.
Kitendo...
Wakati majirani zetu Uganda, wamechangamkia fursa hiyo, ni wajibu wetu watanzania na sisi tufanye hivyo jijini Mwanza na maenel mengine ya mwambao wa Ziwa yenye asili ya upepo mwanana kama yaliyoko Wilaya za Ukerewe, Bukoba, Muleba, Sengerema na Magu (japokuwa sina picha nzuri ya maeneo yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.