Recent content by DERRO G

  1. DERRO G

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nafanya designin ya Website na apps. 0657257607
  2. DERRO G

    JamiiForums Tanzania UI/UX Designing, Website/App Designing and Development.

    Brother kufanya UI/UX designing sio kupoteza muda!! Ni creativity ambayo unakuta hata madeveloper wengi hawana, ndio maana bongo application au website nyingi ni za kawaida sana, na ukifwatilia unakuta nyingi zinafanana. Kwasababu inakuta developer anafanya kwa mazoea. Ngoja nikionyeshe kazi...
  3. DERRO G

    JamiiForums Tanzania UI/UX Designing, Website/App Designing and Development.

    Kutengeneza mobile au web application haitofautiani sana na ukandarasi wa majengo, kwamba kabla Engineer hajanyanyua mjengo ni lazima awe na design au ramani ya jengo, kutoka kwa Architect. Ndivyo ilivyo kwa application development, UI/UX Designers ndio wanaotengeneza muonekanao wa hiyo app...
Back
Top Bottom