Recent content by Derick Balikenga

  1. Derick Balikenga

    JamiiForums Tupeane Updates za Ajira za JKT kwa mwaka 2019 hapa

    Hizo stori tuu..hamna lolote hapo
  2. Derick Balikenga

    JamiiForums Kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga JKT awamu ya pili, masuala ya chuo inakuwaje?

    Ndugu zangu napenda kuuliza, hivi kwa wale form six wanaochaguliwa JKT kwa awamu ya pili..wakati muda wakujiunga vyuoni umefika...huwa kuna utaratibu gani wakuendelea na mafunzo hayo baada yakumaliza chuo?
  3. Derick Balikenga

    JamiiForums Tupeane Updates za Ajira za JKT kwa mwaka 2019 hapa

    Kujitolea mpaka november.....kama ivokuwa miaka ya nyuma
Back
Top Bottom