Kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga JKT awamu ya pili, masuala ya chuo inakuwaje?

Derick Balikenga

New Member
Jan 12, 2019
1
0
Ndugu zangu napenda kuuliza, hivi kwa wale form six wanaochaguliwa JKT kwa awamu ya pili..wakati muda wakujiunga vyuoni umefika...huwa kuna utaratibu gani wakuendelea na mafunzo hayo baada yakumaliza chuo?
 
Back
Top Bottom