Wandugu,
Kama kichwa kinavyojieleza, ninahama Jiji la Dar na kuhamia mkoani.
Ninauza Nyumba yangu moja iliyopo hapa Dar sehemu iitwayo Madale.
Ni ghorofa moja nimeijenga mpaka juu ghorofani, bado kumalizia Renta na kuezeka tu. Ina vyumba 4 juu na kimoja chini. Pia ina Dinning, Sitting...
Wandugu,
Kama kichwa kinavyojieleza, ninahama Jiji la Dar na kuhamia mkoani.
Ninauza Nyumba yangu moja iliyopo hapa Dar sehemu iitwayo Madale.
Ni ghorofa moja nimeijenga mpaka juu ghorofani, bado kumalizia Renta na kuezeka tu. Ina vyumba 4 juu na kimoja chini. Pia ina Dinning, Sitting Room,Study...
Wana jukwaa, wasalaam,
Kwa hiari yangu nimeamua kurudi kijijini nikawekeze kwenye kilimo na ufugaji.
Hivyo nimeamua kuuza nyumba yangu moja iliyopo hapa Dar es Salaam sehemu iitwayo Madale (Anakoishi Diamond Ptatnum)
Nyumba hii ni ghorofa moja na nimepambana kuijenga mpaka juu ghorofani bado...
Wandugu Members JF,
Nimerudi tena kutangaza biashara ya nyumba yangu ambayo haijakamilika baada ya kupunguza bei na urahisi wa ulipaji kwa mhitaji.
Nyumba ipo Madale, Dar es Salaam na Kiwanja kina Ukubwa wa Square Meter 1105. Ni GHOROFA MOJA, bado kumalizia Renta na kuezeka tu. Umeme na Maji...
Habari Members
Wiki mbili zilizopita niliweka tangazo la nia yangu ya kurudi Mkoani ili nikawekeze kwenye kilimo hivyo nilitangaza kuuza Nyumba yangu ambayo haijakamilika na kiwanja vilivyopo Madale, Dar es Salaam. Nashukuru mwana JF mmoja aliwasiliana nami na nimeshamuuzia kiwanja hivyo Nyumba...
Ndugu Members
Natarajia kuhama Jiji la Makonda kurudi Mkoani kuwekeza kwenye Kilimo.
Hivyo nimeamua kuuza Nyumba yangu ambayo bado sijaimalizia kuiezeka kwa bei nafuu sana.
Nyumba ipo Dar es Salaam sehemu inayoitwa Madale na ipo kwenye Kiwanja chenye Ukubwa wa Hatua 66 kwa 28. Ni Ghorofa Moja na...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.