Recent content by Depretty

  1. Depretty

    Naomba kujuzwa mshahara wa matron wa shule

    du! inamaa hapo mtu unapigika sana mana kukaa na watoto si kazi ndg
  2. Depretty

    Natafuta kazi ya usafi nina elimu ya kidato cha nne

    samahn dada kuingilia uzi wako. kama utakua tayr ukipata hiyo nafasi naomba tuungane tuwe tunafanya kazi pamja
  3. Depretty

    Office Assistant (Weighbridge) At TANROADS – 3 Vacancies

    samah sijaelewa kwenye kutuma maombi inamaana unapeleka barua kwa mkono katika ofisi zao au??
  4. Depretty

    Natafuta kazi

    mtu wa kumuachia yupo! ndio maana natafuta kazi
  5. Depretty

    Natafuta kazi

    nimeolewa nina mtoto 1
  6. Depretty

    Natafuta kazi

    Habari, Nahitaji kazi maeneo ya dar, nina ujuzi wa mambo ya saloon(ya kike na kiume) , lakini pia natafuta kazi za kuuza duka (languo, vipodozi, nk) kazi ya usafi, usaidizi wa ofisini, nyumban kwenda na kurudi) usaidizi wa shuleni hata upishi au kusaidia tu wale watoto na kazi zingine ambazo...
  7. Depretty

    I find a job'

    nimekuja harakaharaka nikajua umepata kazi mwenzangu kutokana na hyo head title yako ili nijue umetumia njia zipi kumbe baaadoo unatafuta...duuu
  8. Depretty

    Ni sahihi kwenda kuishi ukweni endapo mwenzi wako wa kiume amesafiri kikazi kwa muda fulani ?

    wapo mkoa wa mbali na familia wazazi..pia mwanamke alienda kwa ajiri ya mwenzi wake huko mkoani coz alikua kikazi so inamaana hata bado hakuzoea mazingira ya mahala hapo alipo ili aweze hata kujitafutia kipato kitakachomkeep bize..
  9. Depretty

    Ni sahihi kwenda kuishi ukweni endapo mwenzi wako wa kiume amesafiri kikazi kwa muda fulani ?

    sio mchaga na hakuna baba mkwe ni upande wa kikeni tupu..
  10. Depretty

    Ni sahihi kwenda kuishi ukweni endapo mwenzi wako wa kiume amesafiri kikazi kwa muda fulani ?

    so kinachotakiwa ni kurudi kwenu ulipotokea hata kama mlishaanza kuishi pamoja!?....
  11. Depretty

    Ni sahihi kwenda kuishi ukweni endapo mwenzi wako wa kiume amesafiri kikazi kwa muda fulani ?

    taratbu zote ni tayari bado moja ambayo tulitarajia mwez ujao tuikamilishe.lakin imetokea dhalula kazini na ni lazima aifanyie kazi kwanza hyo dhalula....
Back
Top Bottom