Recent content by Deogratius n

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tamko la walimu wa sanaa waliokua wanaosubiri ajira mpya.

    akirudi ikulu 2020 nitahama nchi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa simu na vitu vingine

    njoo inbox na vocha tu nakupa ujanja wakumdaka mkeo, au mumeo kma anachepuka
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa simu na vitu vingine

    tayari nimeshampa maelekezo tena burree sjamdai hata sent mkuu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa simu na vitu vingine

    teknolojia ni ghali mkuu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zimetoka

    majina yamewekwa tovuti ipi
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa simu na vitu vingine

    njoo inbox nikupe maujanja ya kumdaka huyo jambaz ndn ya nusu saa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kusitisha Ajira za Walimu ifikapo mwaka 2015

    huyu jamaa aliona mbali sana kuhusu ajira za walimu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za Waalimu wa Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari

    235735¹46455³5⅝543546+354⅝⁴57666=?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ajira 70000 serikali zaanikwa ,zitaanza kutoka mwezi February 2017

    ukisoma hilo gazeti kwenye hizo sifuri mbele kuna tairi la gari huenda msomaji aliongeza tairi la gari akapata laki7
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa waliohitimu medical

    acha uongo
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nimeokota vyeti vya shahada ya sheria vya Grace Damas Shao

    usije ukamuomba..... atakapo htaj vyet
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu 35 elfu ni kwa mwaka wa fedha 2016/17 au 2017/18?

    2015/16 walisha ajiriwa bado 2016/17 na 2017/18 ndo wapo mtaani
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu 35 elfu ni kwa mwaka wa fedha 2016/17 au 2017/18?

    hapo umenena sahii kabisa ndugu yangu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri walimu 35,000 mwaka wa fedha 2016/2017

    INA maana mpaka bajet ya 2017/18 ipite? haaaa basis ajira itakuwa kuanzia mwezi wa7 mwakani
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu 35 elfu ni kwa mwaka wa fedha 2016/17 au 2017/18?

    Tujadili hili suala mana kuna mkanganyiko wa uletaji habari humu. Na je wanaposema wataajiri mikupuo miwili, ina maana kuna watakaochinjiwa baharini? Na huo utaratibu mpya utoaji ajira tofauti na miaka mingine naona kutakuwa na harufu ya interview au itakuwa direct?
Back
Top Bottom