ahaa IPO vizuri lakini Tanzania kulikuwa na watu wawili nao niwazee ambao walichaguliwa wakati wa Ebola ndipo serikali ikaona irudishe hii kozi kwa maana iyo Kenya wataalamu wapo wengi tifauti na bongo kwetu
duh hapo fata mawazo ya wazaz siunaelewa ukivuruga bola uelewane na wazaz mh na kuhusu kitu cha kusoma labda nikushauri usome computer maana minilipitia kote uko nikwa ushauri wangu
ahaaa anayesema uchimbaji wa vyoo labda akachimbe kwao maa kama dishi lime yumba community health anawezakujiongeza wewe kwa vigezo vipi assisome medical assistance maana community heath naijua mpaka nukta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.