Jamani naomba msaada kuhusu ajira za community development!!!!!

Ajira zipo mkuu sema watu waliosoma Community Development wapo wengi sana mtaani.

Umechaguliwa wapi Tumaini au Tengeru?
 
Idara ya Ustawi wa jamii serikali ina mpango wa kuifuta haina faida yoyote kwa Taifa wanalipwa mshahara wa bure tu
 
Idara ya Ustawi wa jamii serikali ina mpango wa kuifuta haina faida yoyote kwa Taifa wanalipwa mshahara wa bure tu
Nadhani unamaanisha Idara ya Maendeleo ya Jamii (Department of Community Development)? na sio Ustawi wa Jamii (Department of Social Work), kutokana na hoja ya mleta uzi
 
ajira zipo..ila ushindani katika kupata hizo ajira ndo mkubwa...we kasome mambo yatajipa mbele ya safari.
 
Kama unatarajia kuajiriwa baada ya kumaliza basi jua kabisa kwa kada hiyo wahitimu ni wengi sana mtaani kwahyo jiandae kisaikolojia rejea usemi huu "Struggle for the fittest"
 
Back
Top Bottom