Recent content by Deogratias kajoki

  1. D

    Washukiwa watatu wa mauaji Tanga wauawa wakati wa majibizano ya risasi na askari

    Tuelewe kuwa mtandao wa ujambazi inaonekana ni mkubwa maeneo yote Tanzania. Huko walikopelekwa Polisi kulikuwa na majambazi wengine ndo waliorushiana risasi na Polisi. Hayo yametokea Mara nyingi siyo hiyo tu.
  2. D

    Washukiwa watatu wa mauaji Tanga wauawa wakati wa majibizano ya risasi na askari

    Majambia ni silaha na ndiyo yaliyotumika kuwachinja watu bunduki haichinji. Mi naona wwanaotia shaka huenda nai ni majambazi au ni ndugu wa majambazi..hivi mnapenda askari naona wauawe ? Kumbuka wanamafunzo na mbinu nyingi. Tuwape moyo askari wetu ili RAIA tuwe na amani .
  3. D

    Wizi mpya wa VodaCom, Tuwakatae!

    Hats wenye cm zisizo na internet wwanalazimika kucheka ili wapewe MB wakati hawazitumii huh ni wizi halisi
  4. D

    Nilijiandikisha mbeya nitakuwa Arusha oktoba 25, JE NTARUHUSIWA KUPIGA KURA

    Inasemekana time itatoa siku chache kurekebisha data kuanzia tar.1/9 si uhakika
  5. D

    Ipi ilani bora Kati ya CCM na UKAWA

    Ilani ya A C T imekuwa bora zaidi . ccm haeaigusi katiba
Back
Top Bottom