Recent content by deogan

  1. deogan

    Hacked

    TWRP au CWM ni custom recovery ambazo unaziflash baada ya kuroot simu, kwa simu yako tafuta root method za chainfire huwa zinakuwa zinainstall CWM moja kwa moja. Na uanze kwa kufanya backup ya efs partition
  2. deogan

    Hacked

    TWRP au CWM ni custom recovery ambazo unaziflash baada ya kuroot simu, kwa simu yako tafuta root method za chainfire huwa zinakuwa zinainstall CWM moja kwa moja. Na uanze kwa kufanya backup ya efs partition
  3. deogan

    Hacked

    ni niliiona hio pia, asante.
  4. deogan

    Hacked

    Nilizifuta, zilikuwa zinajaza disk space. ila hilo sio tatizo website haikuwa on use bado hivyo i can remake it. issue yangu tu ni huyo hacker(s). Any news of him/her/them au exploits zake and how to stay protected maana naona website nyingi sana from google search result zipo infected.
  5. deogan

    Hacked

    Mtu yeyote ana idea ya hacker(s) kwa jina la Mister Spy && Souheyel? nimejikuta nimefuta website nzima (wordpress based) baada ya kugundua iko hacked na hacker huyo. Search ya google inaleta tu results ambazo ni infected websites.
  6. deogan

    Xiaomi Redmi 2 prime

    Kuagiza hiyo bado ni shida kidogo ila inaweza kufika 600000
  7. deogan

    Xiaomi Redmi 2 prime

    We sema nifanye order
  8. deogan

    Xiaomi Redmi 2 prime

    Huwa naagiza kwa order, payment ni baada ya mzigo kukufikia na inachukua wiki moja tu
  9. deogan

    Xiaomi Redmi 2 prime

    Redmi 2 prime utapata kwa 340000
  10. deogan

    Xiaomi Redmi 2 prime

    Nashukuru kwa kunisaidia maana bei ninazopata kwa sasa kutokana na uchache ni kubwa sana
  11. deogan

    Xiaomi Redmi 2 prime

    Unataka simu gani mkuu
  12. deogan

    Xiaomi Redmi 2 prime

    520000
  13. deogan

    Netflix sasa inapatikana Tanzania

    Unategemea na ulipo na mtandao, nilipo mimi sijapata buffering hata kidogo. Kwenye bundle ndo tatizo labda mitandao watoe unlimited netflix bundle
  14. deogan

    Netflix sasa inapatikana Tanzania

    Unadownload app yao ndo utumie labda kama utakuwa unatumia kwenye pc na idm igrab link ya video ntajaribu nilete jibu
  15. deogan

    Netflix sasa inapatikana Tanzania

    Nimeangalia movie mbili ya kwanza data ilipungua 700+MB na ya pili 800+MB nikaangalia tena series episode mbili nikawa nimetumia kama 500MB
Back
Top Bottom