Recent content by Deo Shy

  1. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Mbona Lazaro Nyalandu amekuwa kimya sana tangu ahamie CHADEMA?

    Tarehe 24 nilikutana naye Moshi. Aisee jamaa anajutia ile mbaya. Anakiri wazi kuwa hakuijua CHADEMA kiundani
  2. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Msanii Papii Kocha Ajichora 'Tatoo' Ya JPM

    Jamaa kashaanza kung'aaa... Kweli jela hapafai
  3. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Dr. Ayub Rioba atoa Mwelekeo wa TBC kwa Mwaka 2018. Kufikisha viwango vya juu kiwango cha BBC

    3 years sasa hajabadili hata kiti hapa ofisini... Nimegundua kuongea sana ni tofauti na utendaji
  4. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Masheikh wako wapi? Nchi inapotea

    Masheh wengi kama sio wote wana njaa kali sana. Hasa Mufti Mkuu na huyu Sheh wa Dar, duuh hatari... Wana~.njaa ile mbaya
  5. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Kakobe ndio nani?
  6. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Taifa, Kheri James ateua wajumbe 6 kuhakiki mali za UVCCM

    Sio kwamba kauli ya Rais ilikuwa muongozo. Na sio kurudia. By the way kurudia jambo kama ni jema sio mbaya
  7. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Taifa, Kheri James ateua wajumbe 6 kuhakiki mali za UVCCM

    Duuh we kweli makinikia... UVCCM ina mali nyingi sana sana....
  8. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Taifa, Kheri James ateua wajumbe 6 kuhakiki mali za UVCCM

    Ni tofauti. CCM ina mali zake, UVCCM ina mali zake, UWT ina mali zake like wise na Wazazi
  9. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Taifa, Kheri James ateua wajumbe 6 kuhakiki mali za UVCCM

    "Tunawashukuru Waandishi wa Habari kuwa bega kwa bega na UVCCM nyakati zote na hata wakati wa Mkutano Mkuu mlihakikisha taarifa zinafika kwa Wanachama, wapenzi, Watanzania na Dunia kwa ujumla." - Shaka "Moja ya ajenda kuu aliyoanza nayo ni ya Mwenyekiti wa UVCCM Ndugu Kheri James ni kuhakikisha...
  10. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ahoji upatikanaji Mwenyekiti

    Tunaanza kumchoka sasa. Miaka yote mbona hakuwahi kuhoji na utaratibu unekuwa ni ule ule
  11. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Wakili Albert Msando na Zitto Kabwe wajibizana kuhusu mafao ya wastaafu kukatwa kodi

    Tatizo ni uteuzi.... Jamaa anataka UDC as if kupata ni suala la kufa na kupona
  12. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania NHC imemteua Ndg. Felix Manyama Maagi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo

    Mchechu alikuwa fisadi na mwizi wa kutupwa. Full stop... Hayo mangine tutayajua mbele kwa mbele kikubwa ni kwamba Mchechu hayupo pale kwa sasa
  13. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Kwa CCM hii ya Magufuli, Mangula na Kinana, CHADEMA ruzuku kwishney

    Infact 2020 CHADEMA hakiwezi kupata viti 10 vya ubunge kutoka Bara... Na tusijeshangaa kama CCM itashinda majimbo yote Tanzania nzima
  14. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Yaliyojiri kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Ndoto za Abunwasi hizi... Endelea kuota... Walahi nakuambia 2020 CHADEMA ikipata viti 5 vya ubunge kutoka Bara nahama nchi..
  15. Deo Shy

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Yaliyojiri kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Usajili ni chama but matendo ni SACCOS.... Mfuko wa Mbowe na Mukya
Back
Top Bottom