Recent content by Deo Luhamba

  1. Deo Luhamba

    JamiiForums GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Nawaamini waloandika mengi kuhusu utawala wa nchi yetu kwa sasa na baadae. Tatizo langu ni pale tunaposhindwa kukumbuka hata kwa mifano michache iliyopita! Ukimwacha JKN, Mwinyi alisifiwa kuwa angeweza kuvaa viatu vya mtangulizi wake. Kilichotokea akaondoka na jina jipya LA Ruksa. BWM yeye...
  2. Deo Luhamba

    JamiiForums UNYANYASAJI KATIKA NDOA WOTE TUNAHUSIKA

    Kwa muda mrefu kumekuwa na taarifa nyingi kuhusu unyanyasaji ndani ya ndoa. Taarifa hizi zinaonesha kwamba vitendo vingi vya unyanyasaji vinafanywa na wanaume dhidi ya wanawake. Hili kwa kiwango kikubwa ni kweli. Kwa bahati mbaya vipi vitendo vya unyanyasaji vinavyofanywa na wanawake dhidi ya...
  3. Deo Luhamba

    JamiiForums Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Mawazo mengi yametolewa humu. Lkn ikumbukwe kwamba Rais anasubiri taarifa ya kamati ya wachumi na wanasheria. Kwa nini tusijipe muda tukasubiri ili tuone uamuzi wa Serikali? Lkn pia kujieleza kwa wenzako humu ndani, huna haja ya jazba. Letu moja, kuijenga Tanzania
Back
Top Bottom