Recent content by deo lekule

  1. deo lekule

    JamiiForums Tanzania John Heche: IGP Sirro huna mamlaka na huwezi kunyamazisha Watanzania kujadili shambulio la kinyama alilofanyiwa Lissu

    Sirro aache kupandisha watu hasira,maana zikilipuka kuzituliza italigharimu taifa
  2. deo lekule

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Mjadala wa Tundu Lissu kupigwa risasi ufungwe mara moja

    Bora kukosea kuoa maana mke kuachana naye ipo ndani ya uwezo wako Lakini ole wako ukosee kuchagua kiongozi maana kumtoa huku tayari umeshampa mamlaka juu yako,lazima ukubali kuumia
  3. deo lekule

    JamiiForums Tanzania Siasa bana: Kwamba leo Shonza ni naibu waziri, Nape nje. Dah....!

    Kwamba leo mzimu wa idd amini ndio unaoongoza tanzania
  4. deo lekule

    JamiiForums Tanzania Kutokana na sababu hii, CHADEMA inasambaratika na CCM inainuka

    Hivi unafikiri ni kama ccm kila kitu anaamu magu
  5. deo lekule

    JamiiForums Tanzania Kutokana na sababu hii, CHADEMA inasambaratika na CCM inainuka

    Chaguzi za madiwani ndio zitatoa majibu
  6. deo lekule

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekucha Afrika, haya Tanzania nao wanataka kuongeza miaka ya hatamu ya rais

    Inauma sana
  7. deo lekule

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Na ukibaini serikali inahusika,utaficha wapi bichwa lako Sent using Jamii Forums mobile app
  8. deo lekule

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Pombe ingekuwa inaleta faraja kweli leo ningeinywa baada miaka 10 ya kuachana nayo,nimepata faraja kubwa sana baada ya taarifa hii,acha niendelee kuwa magotini mwa Kristu yesu kuendelea kumwombea Kamanda lissu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. deo lekule

    JamiiForums Tanzania Sakata la IMMMA: Rais wa TLS, Tundu Lissu atoa maazimio ya Baraza la Uongozi. Wapanga kugoma siku mbili

    Mtu akikudai anageuka kuwa adui. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. deo lekule

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Iwe ya Canada ama Japan msingi wa hoja ya lissu ni ndege yetu kukamatwa.ongera Tundu lissu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. deo lekule

    JamiiForums Tanzania TLS ni Taasisi isiyo na msaada kwa wananchi, nyumba zetu zinabomolewa Kimara

    Sema haina msaada kwako.sio wananchi,mbona mm ni mwananchi na nimeshasaidiwa nayo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. deo lekule

    JamiiForums Tanzania TLS ni Taasisi isiyo na msaada kwa wananchi, nyumba zetu zinabomolewa Kimara

    Sema haina msaada kwako Sent using Jamii Forums mobile app
  13. deo lekule

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Bashite Sent using Jamii Forums mobile app
  14. deo lekule

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    Una uhakika sisi wakatoliki tunaabudu sanamu au unaongea mambo usiyoyajua.Mungu alimwambia Mussa atengeneze sanamu ya nyoka na kila aliyeng'atwa na nyoka akitazama ile sanamu ya nyoka atapona.nikuulize Mungu aliwaagiza wayahudi wa kipindi kile waabudu sanamu maana Mungu mwenyewe alielekeza...
Back
Top Bottom