Recent content by deo bruno

  1. D

    JamiiForums Tanzania DSL Modem zinauzwaje ?

    daah cjui ntaenda kujalib
  2. D

    JamiiForums Tanzania DSL Modem zinauzwaje ?

    kwahiyo brother mi nina modem ya voda, sasa inamaana cwez ku2mia hii router? maana shda yang ni kuspeed up, na hizo dsl si ndo zinalipiwa kwa mwez hiz. sasa mi ntaweza wap,
  3. D

    JamiiForums Tanzania DSL Modem zinauzwaje ?

    daaah brother ni mim mwenyewe na laptop yang na cm yang at home brother
  4. D

    JamiiForums Tanzania DSL Modem zinauzwaje ?

    poa kaka, sasa inakuwa inatumia lain moja au direct line, maana nina router haina sehemu ya kuweka modem, sasa watu wamenishaur ninue dsl il niweze kupata internet
  5. D

    JamiiForums Tanzania DSL Modem zinauzwaje ?

    mwenyewe naskia inatumika kama modem
  6. D

    JamiiForums Tanzania DSL Modem zinauzwaje ?

    Wadau Wa Computer Nataka Niwaulize Ivi Dsl Modem Bora Wanauzaga Sh.Ngap Na Maduka Gani Wanauza
  7. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kutumia D-link router

    Naomba msaada router d link n150. Haina sehemu ya kuweka modem nifanyaje kupata internet? Au nahitaj vitu gani zaid?
  8. D

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha DIGITEK cha setellite kitafunga lini mitambo ?

    Jaman Msaada Nina Router Ya D Link Wireless N150, haina sehemu ya kuwekea modem, nifanyaje niwez kupata internet hapa
  9. D

    JamiiForums Tanzania Naweza kutumia kifaa gani kupata internet badala ya modem ?

    nina d link wireless N150 router, haina sehemu ya kuweka modem. nifanyaje kupata net
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kutumia Router hii

    kwa matumiz yang na kuwasambazia wengine na ninatumia dell inspiron 3537,
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kutumia Router hii

    kwahiyo brother h120 naitaji vitu gani hapo? maana nina ethernet 1 ambayo niliikuta kwenye router, nisaidie brother sina ujuz kabisa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kutumia Router hii

    Jamani Nina Wireless Route D Link N150 but haina internal modem na haina port ya kuweka modem ya kawaida. ila ina ethernet port tuu, naomba kujua kama naweza kutumia modem ya kawaida kwa kutumia ethernet? na ni aina gani ya ethernet?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Exchange rate

    Jamani nipo hapa kutaka kujua ni njia gani zinazotumika kutuma pesa toka ulaya. Niliiona post moja inayo husu hii maada lakini sikurizishwa na majibu. Naombeni msaada wenu jamani.
Back
Top Bottom