Recent content by denoo49

  1. denoo49

    JamiiForums Tanzania Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

    😂😂😂😂
  2. denoo49

    JamiiForums Tanzania Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

    Usiseme kamchepuko, sema mwanamke mwenzio.
  3. denoo49

    JamiiForums Tanzania Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

    Njoo nikuoe
  4. denoo49

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Movie za Kanumba na Ray
  5. denoo49

    JamiiForums Tanzania Ampasua mkewe na kofi zito la shavu hadharani tena barabarani

    Nilitegemea kusikia umetoa walau hata kilo ya sembe kwenye mzigo wako ukamapa mhanga. Kumbe umeisha kupiga picha [emoji23]
  6. denoo49

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Dunia, uchawi umeniacha hoi. Mungu nikumbuke

    Nicheki inbox
  7. denoo49

    JamiiForums Tanzania Kuna warembo hawanunuliki. Imagine huyu alikataa 100M TZS!

    Hata Majaliwa alikua madhabahuni akituaminisha Rais yupo fit anachapa kazi, kumbe walishamuweka kwenye jokofu kitambo tu.
  8. denoo49

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

    Hapo ulipo, unashahuku ungekua mke wake
  9. denoo49

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

    Ni muda wa kwenda kuifanya siasa inayohitajika kukidhi malsai ya jamii... na ni muda wa kwenda kuipata KATIBA mpya.
  10. denoo49

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

    Hivi kumbe bado upo na vitusi vyako vya reja reja?
  11. denoo49

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Andaeni masufuria ya ubwabwa na daftari la rambirambi.
  12. denoo49

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hapa hata mahali usi negotiate, beba puli za kutosha tu.
  13. denoo49

    JamiiForums Tanzania Naulizia Chumba Single Self Maeneo ya Usa River Arusha Wakuu

    Hizo user name zenu zinabariki hadi matokeo yenu.
  14. denoo49

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kwenye Geography ukisikia kitu inaitwa River Streams ndio hiyo Sasa.
  15. denoo49

    JamiiForums Tanzania JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Majeruhi wa mjumbe
Back
Top Bottom