Recent content by Dennis_

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nauza iphone na google pixel kwa bei ya kutupa

    Nauza simu zifuatazo kwa bei ya kutupa a.k.a mateke Iphone xr gb 64 price 540,000 iphone xr gb 128 price 600,000 Iphone x gb 64 price 470,000 Iphone xs maxbattery (-)560,000 iphone 11 gb 64 price 710,000 Iphone 11 gb128& 256 price 790,000 *Iphone 11 64Gbprice790,000 *( boxed)...
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

    Kitu ambacho huelewi ndoa hailaziishwi and is not for everyone
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

    Hofu yako ni watu kukuona muhuni, hivi heshima inafaida gani kama huna ela, katika vitu ambavyo sivitaki ni heshima hizi za kiafrika
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

    Afya njema ndo itakayokupa uzee mwema
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

    wengine wanakataliwa na wanawake almost wote wataoaje, wengine wanaleta hizi Uzi kwa sababu ya kukataliwa na kila mwanamke ni matokeo ya kua dissopoint na hili ndo kundi kubwa mda mwingine maisha hayakupi unachotaka, kiasili hakuna mtu ambaye hapendi ndoa Ila circumstances za maisha ndo sababu...
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

    Ni mwanamke anayejiheshimu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Hakuna kitu kama hicho so far ni imagination
  8. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Hii haitakaa iwezekane kinachofanyika tumboni na Ile pumzi ya uhai mtoto anayoipata ni mysterious haijulikani inatoka wapi, hata kwa shetani ni fumbo kubwa sana, hiyo formula ya pumzi ya uhai Mungu atakaa a-share na mwanadamu
  9. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Na ntafanya Tena
  10. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Kama wanaringa IVF ndo suluhishi
  11. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Mim ninaishi bongo na nimefanya IVF https://www.jamiiforums.com/threads/finally-nimepata-watoto-mapacha-kwa-njia-ya-surrogate.2045479/
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

    Na wewe weka inarusiwa
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa dunia yasasa walalahoi na masikini wengi ndiyo wana tamaa ya kuoa pisi kali a k a slay queens

    Humuoni kama huyo ni bibi ulishaona picha zake akiwa binti
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mika Mwamba alitendea haki beat kwenye hizi nyimbo

    Time flies
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii simping culture imekuwa too much now. Wanaume halisi wako wapi?

    Hata mimi sibabaishwi na wanawake refer https://www.jamiiforums.com/threads/finally-nimepata-watoto-mapacha-kwa-njia-ya-surrogate.2045479/page-13#post-44541428
Back
Top Bottom