Pamoja na kuwa na uwezo mkubwa wa kivita mtwa Mkwawa alikuwa ni mwanadiplomasia hodari,kabla ya kupambambana na wajerumani alituma wajumbe watatu in response julai 30 1891 wajerumani waliwaua wajumbe wale watatu na kuchoma moto vijiji,zaidi na hapo ni chifu mkwawa aliyejaribu kuwashawishi watala...
Hii ndo staili pekee wanayoijua ya kuwapatia madaraka hawana jipya.
Kill, Destroy, Sack, Tell lie; how much you want after victory nobody asks why?
Adolf Hittler-Mein Kampf.
Mh Leticia Nyerere kutamka kuwa watanzania hawaajiriwi kwa sababu hawana mvuto wa kuajiriwa,ni matusi kwa watanzania na anastahili awaombe radhi wananchi kwani ni uzalilishaji,analipwa kuwatukana watanzania au kuwatetea watanzania?
Ni aibu kwa kiongozi kama yeye kuongea bungeni watu wawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.