Recent content by denniehanda

  1. denniehanda

    JamiiForums Tanzania Henry Ford heshima zikufikie popote ulipo

    Tofauti yake na Henry Ni kuwa benz alishindwa biashara alikua best engineer ila kwa upande wa business ford kashindikana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. denniehanda

    JamiiForums Tanzania Tesla Roadster gari ya kwanza kwenda Mars

    Amna kamba Apo ukweli mtupu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. denniehanda

    JamiiForums Tanzania Tesla Roadster gari ya kwanza kwenda Mars

    Sio mchezo asee Sent using Jamii Forums mobile app
  4. denniehanda

    JamiiForums Tanzania Henry Ford heshima zikufikie popote ulipo

    Wanajeshi mzee Sent using Jamii Forums mobile app
  5. denniehanda

    JamiiForums Tanzania Henry Ford heshima zikufikie popote ulipo

    Henry Ford alileta mapinduzi makubwa Wajukuu wa Hitler mpka leo wanarespect Sent using Jamii Forums mobile app
  6. denniehanda

    JamiiForums Tanzania Henry Ford heshima zikufikie popote ulipo

    Nipo Google natafuta lilipo sanamu la Henry Ford, napewa majibu kuwa lipo mji mdogo wa greenfield, Michigan mahali yalipo Makumbusho yake. Bado najichanga nifike ilipo lala akili kubwa ya magari. Nikajiuliza watu wana historia gani kuhusu Henry Ford, huwenda hakawa darasa bora kwa watu wa...
  7. denniehanda

    JamiiForums Tanzania Tesla Roadster gari ya kwanza kwenda Mars

    -Ndani ya gari kuna mwanasesele kama anavyoonekana Kwenye picha -Kampuni ya Tesla na Space X awajatoa tarehe rasmi ya kufika kwake ila kwa taarifa waliyotoa ni kuwa inakaribia kuwasili - madhumuni makuu ya safari io ni kufanya exploration Kwenye anga la mbali huenda wakapata taarifa za Aliens...
  8. denniehanda

    JamiiForums Tanzania Tesla Roadster gari ya kwanza kwenda Mars

    Aijabeba mafuta, ina mifumo ya kugenerate power kutoka Kwenye vyanzo tofauti mfano jua n.k Sent using Jamii Forums mobile app
  9. denniehanda

    JamiiForums Tanzania Tesla Roadster gari ya kwanza kwenda Mars

    Inatokea duniani Upande wa marekani Sent using Jamii Forums mobile app
  10. denniehanda

    JamiiForums Tanzania Tesla Roadster gari ya kwanza kwenda Mars

    Inaelekea Mars boss Sent using Jamii Forums mobile app
  11. denniehanda

    JamiiForums Tanzania Tesla Roadster gari ya kwanza kwenda Mars

    Zimepita siku 515 toka Kampuni ya Tesla kutangaza kuwa gari yao aina ya Tesla Roadster imeanza safari kuelekea Mars. Mpaka kufikia Mwaka jana gari hio ilikua ishatembea maili milioni 179 Kwa spidi ya 35,000 mph, taarifa hizo zilitolewa na website ya WhereIsRoadster.com Elon Musk alitaka bodi...
  12. denniehanda

    JamiiForums Tanzania Toyota Fortuner "Mjapan mwenye vinasaba vya Marekani"

    Kutoka hapa nilipo mpaka Ban-pho katikati mwa nchi ya Thailand ni kilometa 7191, Mbali kwelikweli. Inaitwa Toyota Fortuner mid-size SUV mpango kazi wa kimarekani uliotekelezwa na Wajapan katikati ya viunga vya Ban-pho Thailand. Akili inantuma kuamini kuwa Wajapani walitumia Mayakuza kuiba...
Back
Top Bottom