Narudia tena mo ana mbinu na mtaalamu wa biashara, anabiashara ambazo ndio UTI wake wa mgongo na zinampatia pesa nyingi na ziro tax payment rate mfano pitia hapa
https://www.businessresearchinsights.com/market-reports/sisal-fiber-market-120531
Angalia contribution yake kwenye sisal duniani...
Unaweza kuwa tajiri na usilipe Kodi kwa baadhi ya bidhaa na ndio zenye income kubwa.
Ndio maana ni rahisi Tajiri kutangaza bizaa anazolipia Kodi kubwa na ambazo hazilipiwi hatangazi.
Mfano mdogo ukitoa wafanyakazi wanakatwa payee sector inayochangia Kodi kubwa ni ya mafuta jiulize je hao...
Free market Kwa Tanzania inaruhusu Kila mtu kufanya biashara na bei itapangwa kutokana na Demand na supply ni vizuri lakini embu tujiulize yafuatayo.
Kwa Nini hao wachina wanaouza bidhaa zao huku kwetu wasibadili model ya kununua kwao na kutuuzia yani wajenge viwanda huku kwetu badalaa yakuwa...
Ok nisahihi, lakini embu tuangalie kwenye uchumi wa NCHI yetu Ina manufaa. Kwangu ni hapana kwasababu zifuatazo.
1. Profit generated kwenye biashara zao wanaenda ku reinvest katika NCHI zao.
2. Hatujiulizi Kwa Nini kama wao Wana mitaji mikubwa si wangewekeza viwanda huku kwetu na kutuzalishia...
Mimi nazani tatizo kubwa ni ajenda ya
Mimi nazani hii ni ajenda ya adui shetani katika kuitawala Dunia, hofu ya Mungu kupungua na wanawake kuiacha asili Yao(feminist), ndio vyanzo vikuu ila wakirudi kwenye asili Yao ya kimungu hawawezi kaa bila sex Kwa muda mrefu hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.