Ahsante. Kwa hiyo kama nimepaki, nikaiwasha ikapiga Alam, inamaanisha kuna kitu kiko karibu naweza kukigonga nichukue taadhali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hii batani kwenye Gari uwa inafanya kazi gani? Maana Mimi naionaga ila sijui kazi yake nini kwenye Gari pamoja na kwamba, Mimj nibDereva. Hapa iko OFF, ila ukiiweka ON Gari inapiga Alam. Hii ni Noah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale mnaojua ufundi wa wa magari na wenye aidia na mambo ya ufundi.
Hivi Steering Rack ikiisha anza kuvuja, inaweza kutengenezwa? Au ndo inakuwa tayari imeharibika ni kuitoa na kuweka mpya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsanteni kwa hii PAGE. Kuna wizi sasa hivi umejitokeza kwa MAWALA WA M-PESA. Sasa sijui na wao wanajua hama lah! Jana kuna ndugu yangu kaenda kwa WAKALA kutoa pesa, akaomba namba ya WAKALA akapewa na yule WAKALA, Baada ya kuingiza Namba ya WAKALA na kufanya utaratibu wote wa kutoa pesa, jina...
Mimi nataka nifungue Account ya Bank NMB, ila nataka nijue kwanza makato ya kila mwezi na makato ya kutoa pesa kwenye ATM. Nitashukuru kwa majibu yenu mazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huku Mwanza baadhi ya maeneo tayari wameisha ukata. Na sielewi kwa nini umeme unaendelea kujatika, wakati jana waziri wa nishati na madini aliwaambia mameneja wote wa tanesco Tanzania nzima, kwamba hawatakikiwi kukata umeme kwa kisingizio cha Mvua. Ila naona wanapingana naye. Sasa sijui...
Hivi kwa Mkoa wa Mwanza kuna shida gani Tanesco? Mbona Umeme unakatikakatika hovyohovyo bila hata ya taarifa? Mnatuunguzia vitu tuwe wa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa Mkoa wa Mwanza kuna shida gani Tanesco? Mbona Umeme unakatikakatika hovyohovyo bila hata ya taarifa? Mnatuunguzia vitu tuwe wa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.