Recent content by Denis dn

  1. Denis dn

    Udikiteta Tanzania: Je, Rais Magufuli kweli ni dikiteta au wanamsingizia tu? Msikie Mwalimu Nyerere kuhusu udikiteta!

    Kama udikteta n kuogopwa basi hata Mwl. Nyerere alkua dikteta maana aliogopwa sana hasa kwa wala rushwa na mafisadi! Hivyo Rais Magufuli anapambana na mambo hayo pengne ndo watu wanahisi hvyo! Nadhana Tanzania hakuna udikteta. Andika vitu vya kiwafunza wananchi si kuichkia nchi yako.
  2. Denis dn

    DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

    Laana ya Mange n kubwa na sijui nani aliemroga huyu dada! Jaman
  3. Denis dn

    Tamko la CHADEMA kuhusu kauli za Rais Magufuli juu ya nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi

    Hahahaaa cheti cha Makonda n halali kutoka baraza, achen apge kazi!
  4. Denis dn

    ‪Rais Magufuli: Wakuu wa Mikoa wengine jifunzeni kwa Makonda. Tanzanite imeongezeka mara 30... Sijaja kuuza sura!‬

    Acheni Makonda afanye kazi maana watu wa namna hyo n wachache,, Hapa kaz tu
  5. Denis dn

    Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Fanya kazi muda wa nyongeza utafika tu, acha kwanza tutengeneze uchumi
  6. Denis dn

    Mbinu zozote zitatumika kisiasa kukibomoa chama kingine!

    Hahahaaa yawezekana maana hawaeleweki kabisaaa
  7. Denis dn

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Hii ni kweli kabisa ila cku zote wapo watakaopinga ila naamn Rais Magufuli ataweka mambo sawa kabisa, pia Hawa wanaompinga n wasopenda kufanya kazi yaan wao kila kitu n kupinga na kulalamika
  8. Denis dn

    Kwako Rais Magufuli

    Kama n mapito inabidi uvumilie, pia usisubr serikal ikuajir tumia ujuz uliofundishwa kutafuta fursa za maisha. Acha lawama na ufanye kaz neema inakuja na hakuna kiongoz bora kama Magufuli.
  9. Denis dn

    Kauli hii ya Rais huenda ni kutuandaa kisaikolijia kupokea taarifa za makinikia

    Ni maoni yako au? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Denis dn

    Hivi kwanini wanajeshi wa Tanzania wanapenda kujichukulia hatua za kisheria mikononi?

    Jeshi n lazma liheshimiwe, hv unajua mafunzo ya kjesh yalvo magumu Halaf unakuta mtu kavaa tu sare za jeshi na anatembea bila wasiwasi!! Weeee mesh s mchezo na habr za jesh ziache kama zilivo!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Denis dn

    HAI: Mwalimu awekwa rumande kwa kushindwa kuandika jina la Mkuu wa Wilaya

    N uzembe wa kutojua jna la mkuu wako wa Wilaya, tena mwalimu, vp kuhusu wanafunz anaowafundsha? N lazma wawajbshwe na kukumbushwa umuhm wa kufaham majina ya viongoz wao. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Denis dn

    Serikali iseme ukweli, ni wanasiasa gani wamekwenda Canada kuzuia ndege?

    Hili n jambo la kitaifa na linahtaj uzalendo so m nafkl n mda wa kushrikiana kwa pamoja na kuumunga mkono JPM ktk hli BT naamn haliwez kushndkana. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom