umenena na kukiri kuwa wewe ni mwajiriwa wa CCM. BASI ENDELEA KULINDA KIBARUA CHAKO MAANA CCM IKIANGUKA NA WEWE UPO UWEZEKANO UNAOGOPA KUWA JOBLESS. KWA MAELEZO YAKO NI MALOFA NA WAPUMBAVU TU NDO WANAOWEZA KUPATA TAFSIRI AU MAUDHUI YA MANENO YAKO YOTE. BILA SHAKA KAMA UNGALIKUWA BADO UPO...
hivi mfano dr.slaa bado angekuwa ni padri, kisha akaja mke wa mtu kuungama zambi zake kwake kama ilivyo taratibu za kanisa lake, alafu baada ya kumpatia huduma hiyo aliyoifuata na huyo mke wa mtu kuondoka, siku nyingine anasikia mitaani yule mke wa mtu anatangaza kwa watu kuwa padri dr.silaa si...

Ukweli ni kuwa wakenya ni waoga, tena sana. Lakini ni wajanja, tena sana hata kuliko wa TZ, kwa maana ya kiuchumi. Wanaichukulia TZ kama ni "sleeping giant" in E. Africa. Zaidi sana wanaiogopa wasije wakaiamsha kwamba Wa TZ wasije wakajitambua na kufahamu unyonyaji na hila zinazofanywa na KENYA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.