Kuna wakati Watanzania inatupasa kuwa Wazalendo kwa Taifa letu. Tusipende kuwazushia Kashfa viongozi wetu kwa maslahi yetu binafsi kwani kwa kufanya hivi, siku zote tutakuwa tunafukuza viongozi watendaji na hvyo kuchochea kudorola kwa mendeleo ya Taifa letu.
Labda sijaelewa, kibaya zaidi ni kwamba nazidi kushangaa naposikia kuwa tumeibiwa. ESCREOW ni Account iliyofunguliwa BOT Kwaajili ya MECHMA na VIP ambao ni wamiliki wa IPTL. Account hii ilifunguliwa baada ya wamiliki wa IPTL yaani MECHMA na VIP kuhitilafiana, na Maelekezo yalikuwa ni kwamba...
Wakati Chadema wakijidhatiti katika kuporomosha matusi makubwa makubwa na kueneza propaganda kama walivyotumwa na wadhamini wao, CCM (Chama Dume) inazidi kuchanja mbuga na kujiimarisha mijini na vijijini.
kitendo cha Mh Rwenje kuwatuhumu CUF kuwa na misingi ya kupigania haki za ndoa ya jinsia moja, usagaji na ushoga kinadhiilisha ni jinsi gani siasa za CHADEMA zilivyojaa uchochezi na propaganda ambazo hazina nia nzuri kwa Taifa letu. Natoa wito kwa Watanzania wenzangu, "CHADEMA WAKAMATWE, NA...
Ndoto yangu ya kusadikika imekuwa inanisumbua kwa kiasi kikubwa sana na kusababisha nipachikwe majina mengi likiwamo la "The day Dreamer".
NINGEPENDA JAPO KWA KIFUPI NIJARIBU KUWASHIRIKISHA WANA JAMII FORUMS katika mojawapo ya NDOTO ZANGU ZA MCHANA Kuhusu AZIMIO LA ARUSHA.
IFUATAYO NI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.