Recent content by DENAMWE

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu ilipo ofisi ya Kampuni ya mabasi ya Mozaico jijini Dodoma na Mawasiliano yao.

    Nikikosa ofisi au mawasiliano yao nitatekeleza ushauri wako.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu ilipo ofisi ya Kampuni ya mabasi ya Mozaico jijini Dodoma na Mawasiliano yao.

    Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Gari la kusafisha pikipiki kutoka Dodoma Hadi Ngara Kagera.

    Kusafisha isomeke kusafirisha.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Gari la kusafisha pikipiki kutoka Dodoma Hadi Ngara Kagera.

    Nahitaji usafiri wa gar kwa ajili ya kusafirisha pikipiki kutoka Dodoma kwenda Ngara - Kagera.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tupate elimu kidogo kuhusu submita kata umeme

    Submita kazi yake ni nini?
  6. D

    JamiiForums Tanzania PSSSF yampa pole Mdau aliyelalamikia huduma yao, yatoa ufafanuzi na kusisitiza inazingatia Maadili, Uaminifu, Weledi na Uwazi

    Wastaafu ni wazee/vikongwe. Ni wagonjwa. Ni fukara. Kuna walemavu. Kuna wanaohitaji wasaidizi nk Kisha unamwambia mzee mwenye hali hiyo aende kuhakikiwa mkoani. Kuna tunaosafiri zaidi ya km.250 kwenda kuhakikiwa. Hamna huruma.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

    Upo sahihi kabisa. Mzee alioa mzungu. Alikosea? Hapana. Hakukosea. Nadhani ni uungwana kujizua kuamulia watu maisha yao. Maisha ni mali binafsi. Tunaishi duniani mara moja tu! Ruhusu watu wafurahie wanavyotamani kuwa. Tujizuie kuwapangia.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    Chin Chinongwe ni wapi? Umbali gani kutoka Ndanda? Kuna nini?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usafiri wa mabasi kuelekea mikoa ya Lindi na Mtwara

    Natarajia kusafiri kutoka Dar kwenda Ndanda. Nataka kusafiri mchana. Kutalii. NI mabasi yapi? Ratiba zake? Nauli? Yanatumia muda gani Dar Masasi?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    Asante sana. Naomba kufahamu yafuatayo: Nauli Dar Masasi ni kiasi gani? Hakuna basi la moja kwa moja hadi Ndanda? Je, safari ya Dar Masasi inatumia muda gani? Saa ngapi? Ni mara yangu ya kwanza, natamani kusafiri mchana. Mabasi yapo? Nakaribisha maelezo ya nyongeza ili kufanikisha safari hii.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    Asante sana. Naomba kufahamu yafuatayo: Nauli Dar Masasi ni kiasi gani? Hakuna basi la moja kwa moja hadi Ndanda? Je, safari ya Masasi
  12. D

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    Nahitaji kusafiri kutoka Dar kwenda Ndanda. Nisafirije? Basi gani? Ratiba ya mabasi ikoje?
Back
Top Bottom