Recent content by Demyikuya Banumtwa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli mpe William Lukuvi TAMISEMI

    Hakuna ubaya kama anao uwezo. Atajwe tu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Luhwavi, Membe na Lukuvi, mnayopanga Gizani ili Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM yawekwa Hadharani

    Sidhani kwamba Lizaboni unachoeleza ni ukweli kwani Luhwavi yupo busy mnaandaa mkutano mkuu wa kupokezana vijiti kwa Jk na Jpm. Iweje huyo huyo afanye ujinga wa namna hiyo wakati akijua hata afight namna gani Jpm ni lazima awe Mkiti. Lukuvi is most senior minister kwenye baraza LA mawaziri LA...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majina ya wakuu wa wilaya wa Kikwete waliotemwa na Magufuli

    Orodhesha 100 wote walioachwa. Acha huo upotoshaji. Utakuta ktk hayo majina 100, yaliyo ya kikristo ni zaidi ya 50 ingawa majina pekee huwezi kujaji kwa idadi yao kuwa wa dhehebu lipi kwani wengine wana majina ya kiislam ingawa ni wakristo ama vinginevyo. Kinachojalisha ni vigezo tulivyojulishwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA pimeni matamshi yenu, msiwape sababu CCM

    Nami nilimsikiliza sana siku ile huyo kijana. Actually had it been I was Sirro, I would put him in custody the very day. Ni mchochezi na mvuruga amani ya nchi yetu. Wakati anaomba kuchaguliwa ubunge wa jimbo la Ismani, alikuwa na vimaneno vya kashfa kwa Mhe. Lukuvi. Mm nilikuwa nashangaa saana...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Lissu: Urais umemshinda Magufuli

    Magufuli is the right president that Tanzanians wanted in this particular time. The Lisu's auguments are baseless and are polically motivated. The guy and his fellow kind of politicians should leave the president to execute his presidential duties accordingly. What our president is doing is...
  6. D

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Kauli ya Rais Magufuli ni vita dhidi ya demokrasia na uhai wa vyama vingi nchini

    Aaah. You politicians!!! Msitafute kick ya siasa kupitia msimamo wa Mhe. President wa kutumia vyombo vya kidemokrasia kama Bunge na mabaraza ya madiwani kufanya siasa. Habari za maandamano, mikutano ya kkisiasa ya kujaribu kumchelewesha Rais kutekeleza ilani ya uchaguzi wa Ccm, sisi Wazalendo wa...
Back
Top Bottom