Recent content by demulikuy

  1. D

    Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

    That is the right response and a good advice👍🙏
  2. D

    Tetesi: PhD aliyopewa Mwigulu Nchemba ipo kwenye hati hati ya kufutwa

    👍Mkuu Ongeza muda wa kulala strong room ili uniletee mengi. Mtu primary anasoma kama Lameck, sekondari ni Mwigulu lazima kuna kitu uhakiki Sawa mahali. Ni Sawa na Bashite aliyepata 0 Form IV leo hii ni graduate wa MUCCOBS.
  3. D

    Askofu Kilaini kuendelea kuwa Askofu Msaidizi

    Uko sahihi. Hii ndiyo sababu Kuu na sio vinginevyo. Kilaini na Ngalalekumtwa ni very intelligent priests na ni zao la Vatican na ni classmates walirudi Tanzania tayari wakiwa mapadri ( Kilaini ilibidi apate ruhusa maalumu kutoka kwa Pope ili apadirishwe akiwa na miaka 25. Miaka inayotakiwa ni...
  4. D

    Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

    Mkuu hauko sahihi. Sheria ya kubadilisha kikotoo ilipelekwa na kupitishwa bungeni na Jennistèr Mhagama wakati wa JPM. Sheria hii ililalamikiwa sana na wadau na hasa Bungeni. Mbunge wa Kigoma (marehemu kwa sasa) alillamika sana na alisema namnukuu " sheria hii inaenda kuumiza wastaafu"...
  5. D

    Zitto: Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato, alikuwa Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Mkuu hicho kitu wala siyo siri! Kwa sisi wahenga tunajua Nyerere alifanya hivyo. Unajua vita vya RENAMO NA FRELIMO viliishaje? Kwa taarifa vako CIA wanamiliki hadi mashirika ya ndege ! FBI wana software companies na wanafanya biashara kwenye Maeneo hayo. Rejea definition ya intelligence.
  6. D

    Zitto: Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato, alikuwa Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Sidhani kama uko sahihi! Ukiona watu wanazungumza kwa kujiamini ujue huko BRELA, TRA wamepita.
  7. D

    Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

    Kuna watu JF wana wivu balaa. CV za hawa watu wawili zinajitosheleza sana. Work experience 14 years bado mtu anasema hiki siyo kichwa seriously? Usually pessimism leads to fatalism. Kila la heri wateule, hivyo viatu vitawafit vizuri.
Back
Top Bottom