Recent content by DeMostAdmired

  1. DeMostAdmired

    Kwa mliosoma shule za bweni ni tukio gani la ajabu ulilowahi kukutana nalo/ kushuhudia

    Olevel na Advance nimekee bweni, nilokutana ninayo ya ajabu ni mengi mno. Uchawi, utukutu, wizi, ufuska, n.k 1. Kuna jamaa flan alihamia skul tukiwa form3 alikuwa anaonekana mkubwa kutuzid kumbe yule jamaa alikuwa mchawi. Usiku wa manane alikuwa anakutwa anawanga kwenye korido za hostels...
  2. DeMostAdmired

    Mfanyakazi mwenzangu wa kike, anafanya kazi kitengo kimoja na mpenzi wangu amefanya niwe na wivu sana na sijuwi nafanyaje hadi sasa

    Miongoni mwa members niliowamiss sana wakati tulipokuwa kifungoni ni pamoja na hii pisi, Ina akili sana cocastic I love you 😀😀😀
  3. DeMostAdmired

    Multiparty democracy ni sumu kwa mataifa masikini hasa ya Kiafrika

    Yes habari za masiku ndugu zangu na poleni nyote Kwa kadhia tuliyoipata kwa kusimamishwa Kwa muda Kwa platform yetu pendwa ila hope now tupo sawa. Happy new year pia nawatakiwa kila lakheri katika huu mwaka mpya wa 2026. Binafsi nimekaa nikafanya utafiti wa historia mbali mbali na kutafakari...
  4. DeMostAdmired

    Niache kazi Serikalini niende Botswana? Naomba ushauri

    Sekta ni tofauti kwahyo upande wa IT sielew mpka nimulize mwenyej
  5. DeMostAdmired

    Niache kazi Serikalini niende Botswana? Naomba ushauri

    Nimeleta jukwaani kupata maoni ya wadau na watu wenye experience nisije kuacha hapa nikaenda huko mambo yakawa mabaya na nishaharibu huku najua hapa jukwaani kuna wadau pia wanafanya kazi huko Botswana maana naskia wabongo wapo wa kutosha tu huko Gaborone
  6. DeMostAdmired

    Niache kazi Serikalini niende Botswana? Naomba ushauri

    Kwa jinsi nilivokuliza mwenyej wangu huko anasema hiyo inatosha
  7. DeMostAdmired

    Niache kazi Serikalini niende Botswana? Naomba ushauri

    Sasa connection ipi na wakati process za kuapply zipo wazi kabisa na ni rahisi
  8. DeMostAdmired

    Niache kazi Serikalini niende Botswana? Naomba ushauri

    Nilazima nipime, merry ni mchumba wangu anaumuhimu lakin hiyo haimaanishi kwamba sitakiwi kufanya maamuzi sahihi
Back
Top Bottom