Recent content by demolisher

  1. D

    Rombo: Freeman Mbowe apendekeza Mzee Shirima wa Precision Air atambuliwe Kitaifa

    Kwako kila kitu ni kwa wanasiasa. Majina ya mitaa, mashule, viwanja vya mpira, vya ndege. Yaani kila kitu. Hivi waTanzania wasio wanasiasa hawajawahi kulitendea taifa mambo mazuri? This mindset should be changed.
  2. D

    Serikali kutumia bilioni 500 kujenga vituo vya kupoozea umeme

    Kupooza = paralyse Kupoza = kupunguza nguvu, joto, ukali n.k
  3. D

    Zambia kuzuia Mahindi kuingia Tanzania ni kutowapenda Wakulima Wake?

    Tafuta shamba ukalime ujue uchungu wa kulima.
  4. D

    Rasimu ni maoni sio Katiba

    Mkuu, para yako ya kwanza ndiyo msingi wa hoja yangu; kwa maana kuwa dira ya taifa inaprescibe "what" and "when". Sasa kila mgombea (asiyetokana na chama) aje na "how", nasi wapigakura tuchague mwenye realistic "how". Itikadi yakisiasa ni mbwembwe tu. Kuna wanaoshikilia itikadi ya ujamaa lakini...
  5. D

    Rasimu ni maoni sio Katiba

    Mkandara, mimi siamini katika kitu kinachoitwa itikadi ya chama na ilani ya uchaguzi ya chama. Havina msaada wowote kwa taifa. Tunapaswa kuwa na dira ya taifa ambayo wagombea urais (wasiokuwa na chama) watatueleza wataitekeleza namna gani. Narudia, kwenye uchaguzi wa rais kusiwe na habari ya...
  6. D

    Rasimu ni maoni sio Katiba

    Ili hayo yawezekane, rais aondolewe mamlaka ya kuvunja bunge.
  7. D

    Rasimu ni maoni sio Katiba

    Tuongee kizalendo kabisa, kikwazo kikuu cha Tanzania kutosonga mbele kwa kasi ni rais kutokana na chama cha siasa. Kwa sababu serikali anayounda rais itaitwa "serikali ya chama xxxx" -mwanzo wa anguko la nchi kwa sababu wabunge wanaotokana na chama cha rais (katika hali ya kawaida watakuwa...
  8. D

    Chonde chonde Rais Samia, wakulima hatutaki kurudi tena kuuza mahindi kilo 200, nasi tutakuja huko mjini

    Tutatulia ikiwa biashara ya kilimo itaheshimiwa kama biashara nyingine.
  9. D

    Maboresho katika sekretarieti ya ajira: Kwanini mtu wa 'degree' asiruhusiwe kuomba kazi za wenye 'diploma'?

    Gachacha, jihadhari na matumizi holela ya hiyo logo; utajapata shida!
  10. D

    Rais Samia amuapisha Dkt. Charles Mahera kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI

    Akasimamie uchaguzi was serikali za mitaa 2024!
Back
Top Bottom