Recent content by Democrat7

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja changu(20mx20m) kilichoko Mbezi,Msakuzi,8.8mil

    KIWANJA KILICHOPO DSM KINAUZWA: Kipo Mbezi Luisi, Makabe katika kitongoji kinachoitwa MSAKUZI(Kwa Lipelanya).Kipo umbali wa kama mita 800 kutoka stand ya Msakuzi. Ukubwa wake: 20mx2m. Bei yake:8.8MIL. Kipo eneo zuri. Kimezungukwa na nyumba zilizojengwa tayari. Barabara ya kufika kwenye kiwanja...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Samaki: Sangara na sato wanahitajika sana

    Habari wanaJF, Bado natafuta mtu kwa kuniletea samaki aina ya sangara na sato buchani kwangu, niko Dar. Mahitaji yangu ni kilo 100 za sangara na kilo 30 za sato kila wiki. Nicheck kwa whatsapp namba hii: 0769141105
  3. D

    JamiiForums Tanzania Looking for sausage distributor on wholesale

    I live in Dar. I am looking for someone who can supply me various brands of sausages. If interested please contact me by whatsapp through this number. +255 769 141105
  4. D

    JamiiForums Tanzania Samaki (Sato na Sangara) wanahitajika Dar es salaam, please tuwasiliane

    Natafuta supplier wa samaki aina ya Sato na Sangara. Mimi niko DSM. If interested please nicheck by whatsapp kwa namba hii: +255769141105.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta distributor wa Sausages za Tanzania na Kenya

    Naona labda sijaeleweka. Mimi sina kiwanda ila nina outlet ambayo nauza vitu mbalimbali pamoja na sausages. Kwahiyo natafuta mtu atakaye kuwa ananiletea nanunua kwake kwa bei ya jumla. Nauza sausages brands mbalimbali ikiwemo hii ya Farmer´s Choice
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta distributor wa Sausages za Tanzania na Kenya

    Habari Wakuu, Mimi niko DSM. Nahitaji distributor au supplier wa sausages za Kenya na Tanzania. Ninaweza chukua packet 50-70 kwa wiki. Niko Mbezi Mwisho. Please call this number if interested: 0769141105. Asante
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta supplier wa samaki Sato na Sangara - Dar es salaam

    Habari wanaJF. Bado natafuta mtu anayeuza samaki(Sato & Sangara) kwa bei ya jumla Dar es Salaam. Nataka fungua bucha ya samaki. Plz kama uko Dar tuwasiliane kwa namba hii 0769141105. Asante
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta supplier wa samaki - Sato na Sangara

    Napatikana Dar Mbezi Mwisho. Sorry nilisahu kutaja niko wapi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta supplier wa samaki - Sato na Sangara

    Tuwasiliane kwa namba hii 0769141105. Niko Dar Mbezi Mwisho
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta supplier wa samaki - Sato na Sangara

    Sorry nilisahau kusema niko wapi. Niko Dar Mbezi Mwisho
  11. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta supplier wa samaki - Sato na Sangara

    Habari wakuu, Nimefungua duka la samaki natafuta mtu anayesupply samaki aina ya sato na sangara ili awe ananiletea. Please nipe contact zako.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Line ya Tigopesa, M-Pesa, Airtel Money na machine ya Selcom vinauzwa

    Machine ya Selcom utapata kwa sh. laki 4
  13. D

    JamiiForums Tanzania Line ya Tigopesa, M-Pesa, Airtel Money na machine ya Selcom vinauzwa

    Napatikana kwa namba hii: 0713 249720 karibu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Line ya Tigopesa, M-Pesa, Airtel Money na machine ya Selcom vinauzwa

    Habari wanajamii. Kuna jamaa yangu anauza Line yake ya Tigo-pesa, M-pesa, Airtel Money na Mashine ya Selcom(inayotumika kulipia LUKU, DStV, Startimes, Zuku, Azamtv etc) Kama unahitaji please naomba unitumie Private Message nitakupa taarifa zaidi.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa: Mitsubishi gdi: Bei nzuri

    Gari halina tatizo lolote ambalo nimekosa ufumbuzi. Spares zake zipo. Hakuna spare ambayo nilitafuta nikakosa. Hadi sasa iko vizuri, inatembea. Sio kwamba sijapata wateja, nimepata wengi tu , sema offer yao ilikuwa chini
Back
Top Bottom