View attachment 173811View attachment 173812View attachment 173812View attachment 173813View attachment 173814View attachment 173815View attachment 173816View attachment 173817View attachment 173821
Wadau nauza gari hii. Picha zake ndo hizo. Gari iko kwenye hali nzuri kabisa. Naiuza kwa sababu kuna issue nataka fanya. BEI YAKE NI SH. 5,700,000. Kama uko interested nipigie namba hizi: 0713 249720 au 0753 063426
Mkuu tatizo spear,watu sio kwamba wanaenda tu kutumia toyota sababu ya mazoea,Watu wengi tunanunua spear second hand toka Japan,na importers wanajua sana kutake advantage,spare parts za mitsubish wanauza gali sana na pia ni adimu kupatikana maana gari za aina hiyo ziko chache sana.Kwa bongo sijui kama utauza Toyota ni kama dini ilivyo wakaa moyoni
Mkuu tatizo spear,watu sio kwamba wanaenda tu kutumia toyota sababu ya mazoea,Watu wengi tunanunua spear second hand toka Japan,na importers wanajua sana kutake advantage,spare parts za mitsubish wanauza gali sana na pia ni adimu kupatikana maana gari za aina hiyo ziko chache sana.
Hata hizo toyota zenyewe kama sio popular sana spare zake ni ghali sana mfano,
,Niliwahi kumnunulia wife Toyota Passo,bahati mbaya ika haribika engine mounting,kuulizia bei ya used kwa moja ni laki tatu na nusu na hii ni baada ya kutafta sana hapa mjini,Hub za nyuma zinazotumia umeme kwa pair niliambiwa milioni,
Lakini kwa gari kama vitz,rav 4 au noah spare ni bei rahisi maana ziko tele.
Kwahiyo usishangae hata mleta uzi wa hii mitsubish kuna kitu imemsumbua na ameshindwa kuipatia uvumbuzi lakini hataki kuweka bayana ili auze haraka.
Hapa umechepuka vizuri mie nimefarijika sana, asante kwa darasa huru. Pamoja mkuu
Ni kweli mi mwenyewe nilikuwa na pajero kuuza ulikuwa balaaa
Huwaga zinasumbua nini zile mkuu,navipenda sana vile vigari.
Mkuu tatizo spear,watu sio kwamba wanaenda tu kutumia toyota sababu ya mazoea,Watu wengi tunanunua spear second hand toka Japan,na importers wanajua sana kutake advantage,spare parts za mitsubish wanauza gali sana na pia ni adimu kupatikana maana gari za aina hiyo ziko chache sana.
Hata hizo toyota zenyewe kama sio popular sana spare zake ni ghali sana mfano,
,Niliwahi kumnunulia wife Toyota Passo,bahati mbaya ika haribika engine mounting,kuulizia bei ya used kwa moja ni laki tatu na nusu na hii ni baada ya kutafta sana hapa mjini,Hub za nyuma zinazotumia umeme kwa pair niliambiwa milioni,
Lakini kwa gari kama vitz,rav 4 au noah spare ni bei rahisi maana ziko tele.
Kwahiyo usishangae hata mleta uzi wa hii mitsubish kuna kitu imemsumbua na ameshindwa kuipatia uvumbuzi lakini hataki kuweka bayana ili auze haraka.
Spear zake ni za ghali sana na si rahisi kuzipata